Makamu wa rais wa Marekani Kamala Harris amekuwa akikosolewa na maafisa kwa kutoa hotuba zinazopigia debe haki za wapenzi wa jinsia moja wakati wa ziara yake ya siku tatu katika bara la Afrika ...
Josphine Mwende kutoka nchini Kenya anaishi na hali inayoathiri ubongo kwa jina maarufu ‘Cerebral palsy’ kwa kiingereza akiwa sasa ametimiza umri wa miaka 34 mwaka huu. Anatumia simulizi ya maisha ...
Kiongozi wa upinzani Uganda, Robert Kyagulanyi, ameshtumiwa vikali na wanasiasa wa pande zote nchini mwake kwa kuomba msamaha kuhusu msimamo wake wa awali juu ya masuala ya mapenzi ya jinsia moja.
Mahakama kuu nchini Namibia imefutilia mbali sheria mbili za enzi za ukoloni ambazo zilikuwa zikipiga marufuku mapenzi ya jinsia moja. Jumuiya inayotetea haki za jamii ya wapenzi wa jinsia moja katika ...
Wanaume sita wamekamatwa nchini Uganda kwa kujihusisha na 'mapenzi yajinsia moja', msemaji wa polisi ameliambia shirika la habari la AFP siku ya Ijumaa, siku moja baada ya Rais Yoweri Museveni ...
Mitandao ya kijamii siku hizi imeanza kutumiwa na watu wengi kuwatafuta wachumba. Je, ni muda upi unaostahili kuchukua kabla ya kukutana ana kwa ana na mchumba wa mtandaoni? Tumewashirikisha wananchi ...
Mariam Mafumba, mkazi wa Kijiji cha Songambele, Kata ya Salawe wilayani Shinyanga, amefariki dunia baada ya kudaiwa ...