Angalau watu 66 wamefariki na makumi kadhaa wamejeruhiwa wakati ndege ya kijeshi iliyokuwa imebeba watu 125 ilipoanguka ...
Rubani wa shirika la ndege la Air Canada na msaidizi wake wamethibitishwa kufa baada ya ndege yao kugonga gari lilokuwa ...
Watu wasiopungua 66 wamefariki dunia kufuatia ajali ya ndege ya kijeshi iliyoanguka muda mfupi baada ya kupaa nchini Colombia ...
Ndege ya Air Canada iligongana na lori la zimamoto katika Uwanja wa Ndege wa LaGuardia jijini New York Machi 22 usiku, na ...
Wahamiaji tisa wamefariki dunia na 45 hawajulikani walipo baada ya boti yao kuzama katika pwani ya Djibouti wiki hii. Haya ...
MADAKTARI sita wa Hospitali ya Rufaa Sekou-Toure wamenusurika kifo baada ya kupata ajali ya gari iliyotokea katika Kijiji cha Maremve, Kata ya Igongwa, Wilaya ya Kwimba mkoani Mwanza. Taarifa hiyo ime ...
Takriban watu 288 wamefariki baada ya treni mbili za abiria kugongana na treni ya mizigo huko Odisha. Chanzo cha picha, Reuters Mwanariadha wa Kenya Faith Kipyegon aliweka rekodi mpya ya dunia ya mita ...
Familia za waathiriwa zimekusanyika katika uwanja wa ndege huku mamlaka ikichunguza chanzo cha ajali hiyo. Na Asha Juma Tumepata uthibitisho kuwa watu 179 waliokuwemo kwenye ndege hiyo wamefariki.
Maafisa zaidi ya 30 watuhumiwa kwa uzembe uliohatarisha usalama wa usafiri wa umma nchini Ugiriki kufuatia ajali iliyotokea ...
Aliyekuwa Waziri na Mbunge wa zamani wa Lugari, Cyrus Jirongo, amefariki dunia kufuatia ajali ya barabarani eneo la Karai. Aliyekuwa Waziri na Mbunge wa zamani wa Lugari, Cyrus Jirongo, amefariki ...
Maafisa katika jimbo la kaskazini mashariki la Pennsylvania wanasema watu wote sita waliokuwa kwenye ndege ndogo ya abiria waliuawa wakati ndege yao ilipoanguka jirani ya jiji la Philadelphia siku ya ...